mapishi

PARACHICHI SHAKE

7/16/2013Violet Kibua


 Mahitaji:
Parachichi/Avocado
Maziwa
Sukari/sio lazima
Vanilla Icecream/sio lazimaNjia:
Safisha parachichi kisha kata vipande vidogo vidogo
Weka mahitaji yako yote kwenye blender, ambayo ni parachichi, maziwa, sukari na vanilla icecream kama utatumia
Saga mpaka uone mchanganyiko wako umelainika vizuri
Mimina kwenye glass ambazo utakua umeandaa


Kinywaji chako kiko tayari 
Weka kwenye friji ili ipoe kidogo
Kisha andaa mezani 


Tamu sana
Jaribu na wewe ujionee

***

BLOGLOVIN  |  FACEBOOK  |  TWITTER 

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form