accessories DIYs

DIY: KITENGE EARRINGS

7/17/2013Violet Kibua


Mahitaji:
Hereni za ring
Kipande cha kitenge
Mkasi kwa ajili ya kukatia
Gundi ya maji
 Ukishazungusha kote, mwisho hapa ndio utaweka gundi kwa ajili ya kitambaa kishikane


Hereni zako tayari kwa kuvaliwa
Waweza tupia kwenye mtoko wowote
Si unajua kitenge hakikatai sehemu


Show ndio imeishia hapa
Jaribu na wewe kutengeneza ya kwako hapo home
Unachotakiwa ni kufuata maelekezo hayo pichani

Asanteni kwa kunitembelea
Na karibuni tena

Maoni yenu ni muhimu sana

***

Bloglovin  |  Facebook  |  Twitter  |  Instagram  |  Pinterest  

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form