Habari wadau
Mko poa?
Nyingine hii toka kwangu
Sleeveless dress(gauni isiyokuwa na mikono)
Ni ya batik. Pia unaweza kuona post zingine za ambazo batik imehusika
Bonyeza HAPA kuona post hizo zilizopita
Mko poa?
Nyingine hii toka kwangu
Sleeveless dress(gauni isiyokuwa na mikono)
Ni ya batik. Pia unaweza kuona post zingine za ambazo batik imehusika
Bonyeza HAPA kuona post hizo zilizopita
Habari wadau!
Ni matumaini yangu kwamba mko poa
Ni siku nyingi sijapost vya kwangu, hii ni kutokana na majukumu ya hapa na pale
lakini ninapopata muda kama leo hivi, basi nashare nanyi style zangu
kitenge hiki nilishawahi kitengenezea nguo flani siku kadhaa zilizopita
unaweza iona hiyo post hapa
katika post hiyo iliyopita nilishona pencil skirt na peplum blazer lakini leo nawaletea hii pencil dress
hope mmeipenda
Kwa maoni, ushauri au una style zako ungependa kushare nami
nitumie kwa kibuafashions@gmail.com
Bonyeza chini hapo, uone picha zaidi