Habari wapendwa!
Nyingine hii ya kitenge toka kwangu
Ni peplum top
Shuka nayo kwa kubonyeza hapo chini
Habari wapendwa!
Leo nitawaonyesha namna nzuri ya kuondoa stika/label kwenye kitenge
Mara nyingi watu wamekua wakitoa kienyeji hii inapelekea stika kutotoka vizuri na kuleta usumbufu, kwani muda mwingi utatumika
Habari wapendwa
Za masiku tele
Nimewamisije sasa
Kitambo sana sijapost kipya humu ndani. Hii ni kwa sababu ya majukumu mbalimbali ya ujenzi wa taifa. Angalau sasa nina nafasi kidogo, tutakuwa tunaonana hapa kijiweni. Endelea kutembelea kijiwe hiki kwa mitindo tofauti tofauti ya kitenge. Kuna mambo mazuri yanakuja, kaa mkao wa kuburudika
Leo burudika na hii, kitenge maxi dress. Ni kazi ya mikono yangu mwenyewe
Kuona picha zaidi bonyeza hapo chini
Habari zenu wadau!
Shughuli zinaendaje?
Hii hapa ya kitenge kutoka kwangu
Nimeipa title ya "Touch of green" sababu kitenge kilichotumika kina rangi kama tatu
na kijani ikiwepo
Ni simple pencil dress
Natumai umeipenda
Asante sana kwa kunitembelea
Karibu tena wakati mwingine
Natatakia jioni njema

Kapendezaje
***
Habari wapendwa!
Za weekend? Natumai mu wazima wa afya
Nyingine hii ya kwangu, ya kitenge
Bonyeza hapo chini kuona picha zaidi
Habari wapendwa!
Hope mmekuwa na weekend njema
Ni siku nyingine tena tunakutana katika kijiwe hiki
Kama kawaida, ni mwendo wa vitenge tu
gauni fupi la kitenge, kazi ya mikono yangu mwenyewe
Namshukuru sana Mungu kwa hili
Burudika na picha zaidi kwa kubonyeza chini hapo

Habari wadau
Mko poa?
Nyingine hii toka kwangu
Sleeveless dress(gauni isiyokuwa na mikono)
Ni ya batik. Pia unaweza kuona post zingine za ambazo batik imehusika
Bonyeza HAPA kuona post hizo zilizopita
Mko poa?
Nyingine hii toka kwangu
Sleeveless dress(gauni isiyokuwa na mikono)
Ni ya batik. Pia unaweza kuona post zingine za ambazo batik imehusika
Bonyeza HAPA kuona post hizo zilizopita
Habari wadau!
Ni matumaini yangu kwamba mko poa
Ni siku nyingi sijapost vya kwangu, hii ni kutokana na majukumu ya hapa na pale
lakini ninapopata muda kama leo hivi, basi nashare nanyi style zangu
kitenge hiki nilishawahi kitengenezea nguo flani siku kadhaa zilizopita
unaweza iona hiyo post hapa
katika post hiyo iliyopita nilishona pencil skirt na peplum blazer lakini leo nawaletea hii pencil dress
hope mmeipenda
Kwa maoni, ushauri au una style zako ungependa kushare nami
nitumie kwa kibuafashions@gmail.com
Bonyeza chini hapo, uone picha zaidi
January, 18 ya kila mwaka ni siku muhimu sana kwangu
Ni siku yangu ya kuzaliwa
Namshukuru sana Mungu kwa zawadi hii, ya kuuona mwaka mwingine
Life so far, has been good
Nimepitia magumu mengi lkn pia kuna nyakati nzuri pia za kukumbuka
Asante kwa watu wangu wote ambao mlikua pamoja nami kipindi chote, mmenisaidia pale nilipokwama na kunitia moyo pale nilipokata tamaa
Kwa namna moja au nyingine mmenifundisha nini maana ya maisha. Nawashukuruni sana
Ninazidi kumuomba Mungu anijalie niweze kupata miaka mingine zaidi
Aniongezee furaha, amani, upendo na afya njema ili niendelee kumtumikia vema
Azidi kunitia nguvu ya kupambana
Anizidishie busara na mafanikio tele kwa kila jema nitakalolifanya
HAPPY BIRTHDAY TO ME