african print ankara

KITENGE

7/03/2013Violet Kibua

 Habari wadau!

 Ya kitenge hii toka kwangu, 
Ni skirt na blauzi za kawaida kabisa
Skirt kimtaa tunaita "A shape", mbele ina mipasuo miwili, usawa wa goti kushoto na kulia
Lakini kwenye picha hapa hainekani vizuri
Na kwa nyuma ni pande mbili za kawaida


 Blauzi ina madoido kidogo kwa mbele upande wa kifuani
Kama inavyoonekana kwenye picha
Vilivyosalia ni vya kawaida tu
Mkono mfupi wa kutuna na zipu nyuma
Hayo ndio niliyowaandalia kwa leo
Usisahau kunifollow 

***


You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form