accessories DIYs

DIY: KITENGE EARRINGS

7/06/2013Violet Kibua


Mahitaji:
Kitenge
Mkasi
Hereni
Gundi ya maji

Sidhani kama kuna haja ya kutoa maelezo mengi
Fuata maelekezo haya kwenye picha
Kwani picha zenyewe zinajieleza


Ukimaliza zitakua na muonekano huu
Tupia kwenye mtoko wako wowote

Weekend njema kwenu

***

Bloglovin  Facebook  |  Twitter  Pinterest  |  Instagram

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form