african print ankara

KITENGE DRESS

1/30/2013Violet Kibua


 African Print(Kitenge)
Simply kwa sababu kitenge kina rangi mbili ambazo ni Maroon na Gray

Ndio hiki ni kitenge (African Print) wala sio kitambaa cha kawaida. Kwa sababu kuna baadhi ya marafiki zangu walipoiona nguo hii kwa mara ya kwanza, walidhani hiki ni kitambaa cha kawaida.

Je, wewe mdau unaonaje? Machoni mwako unaona hii material iliyotumika hapa kwenye kivazi hiki ni Kitenge au Kitambaa tu cha kawaida?

Unaweza kucomment, Ruksa

xoxo

***


You Might Also Like

6 comments

Recent posts

Contact Form