african print ankara

KITENGE PENCIL DRESS

2/03/2014Violet Kibua

Habari wadau!
Ni matumaini yangu kwamba mko poa
Ni siku nyingi sijapost vya kwangu, hii ni kutokana na majukumu ya hapa na pale
lakini ninapopata muda kama leo hivi, basi nashare nanyi style zangu

kitenge hiki nilishawahi kitengenezea nguo flani siku kadhaa zilizopita
unaweza iona hiyo post hapa
katika post hiyo iliyopita nilishona pencil skirt na peplum blazer lakini leo nawaletea hii pencil dress
hope mmeipenda

Kwa maoni, ushauri au una style zako ungependa kushare nami
nitumie kwa kibuafashions@gmail.com

Bonyeza chini hapo, uone picha zaidi

 
 
Nawatakieni nyote siku njema
Nawapenda sana

Signature photo VIOPYT_zps848f22d6.jpg

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form