african print ankara

KITENGE PEPLUM DRESS

5/10/2014Unknown

Habari ya weekend wapendwa
Natumai mu wazima wa afya
Sijapost kitambo sana hii ni kwa sababu ya majukumu ya hapa na pale
Leo nawaletea nyingine ya kitenge kutoka kwangu
Kitenge Peplum Dress
Kazi ya mikono yangu mwenyewe

Bonyeza chini hapo ili kuona picha zaidi

Nawatakia watu wangu wote
weekend njema yenye utulivu

***

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form