mapishi

FRESH FRUITS SALAD

7/28/2013Violet Kibua


Mahitaji:
Nanasi
Ndizi
Papai
Tikiti maji
Parachichi
Embe


 Njia:
Safisha matunda yako 
Kisha kata vipande vidogo vidogo kadiri upendavyo
Changanya kwenye bakuli kubwa
Ukipenda weka kwenye friji ili ipoe kidogo
Baada ya hapo saladi yako itakua tayari kuliwa

Una pishi lolote ungependa kushare nasi
Nitumie kwa kibuafashions@gmail.com

Asante kwa kunitembelea
Karibu tena

***

Bloglovin   Facebook  Twitter  |  Instagram  Pinterest

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form