accessories DIYs

DIY: BANGILI ZA KITENGE

5/22/2013Violet Kibua


Aje? Mko poa?
Za kitenge hizo
Je, unataka kutengeneza ya kwako?
Kama jibu ni ndio, fuata maelekezo hapo chini

Unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo:
Kitenge
Bangili
Mkasi kwa ajili ya kukatia kitenge
Sindano na Uzi kwa ajili ya kumalizia kufunga ukifika mwisho.
Lakini pia unaweza tumia gundi (fabric glue)


Baada ya kuwa na mahitaji yako tayari, fuata maelekezo hapo chini kwenye picha
Ni rahisi sana wala haiitaji maelezo mengi sana, picha zenyewe zinajieleza vizuri tuBaada ya hapo bangili zako tayari, unaweza vaa wakati wowote, kwenye hafla yoyote. Si mnajua kwamba kitenge hakichagui. Popote kinarock Una maoni, maswali kama kuna jambo linakutatiza
Usisite kuniandikia
kibuafashions@gmail.com

***

Violet

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form