Habari za jumapili wapendwa Natumai mu wazima wa afya na Mungu bado anatupigania Tumshukuru kwa upendo wake mkuu Leo nawaletea pishi hili la nyama(steki) iliyojaa hoho Kitaalamu tunaita pepper steak Unataka kujua jinsi ya kuandaa pishi hili? Tuwe pamoja Mahitaji: Nyama(steki) Limao au Ndimu Tangawizi Kitunguu Saumu Kitunguu maji Hoho Mafuta ya kupikia Chumvi Njia: Anza kwa kuandaa nyama ambayo ni steki, ikatekate vipande vidogo vidogo Kisha ioshe...
Aje? Mko poa? Za kitenge hizo Je, unataka kutengeneza ya kwako? Kama jibu ni ndio, fuata maelekezo hapo chini Unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo: Kitenge Bangili Mkasi kwa ajili ya kukatia kitenge Sindano na Uzi kwa ajili ya kumalizia kufunga ukifika mwisho. Lakini pia unaweza tumia gundi (fabric glue) Baada ya kuwa na mahitaji yako tayari, fuata maelekezo hapo chini kwenye picha Ni rahisi sana wala haiitaji maelezo...
Ya kitenge hiyo Unaweza ukajitengenezea yako wewe mwenyewe Umeipenda? *** Violet ...
Habari watu wangu! Mko poa? Natumai wote mu wazima wa afya njema kabisa Tumshukuru Mungu wetu kwa kuwa ni mwema, fadhili zake ni za milele Kwa kutupa pumzi na nguvu ya kuendelea kumtumikia Leo nawaletea kitu kingine hiki kutoka kwangu. Ni African print(Kitenge) na satin Sketi ni ya kawaida tu, wenyewe tunaita nguva ya kuunga. Haina vikorombwezo vingi. Nimetumia kitenge pekee Lakini katika blauzi nimemix, satin imeingia kwa...
Kama unapenda kujua ni mchanganyiko wa nini na nini tuwe wote Mahitaji: Parachichi/Avocado Nanasi/Pineapple Korosho/Cashewnuts Njia: Mchanganyiko huu wala hauna kazi sana kuuandaa Ukishakuwa na mahitaji yako tayari, Unachotakiwa kufanya Kwanza kabisa safisha matunda yako vizuri kwa maji safi ya uvuguvugu Ukishamaliza yaache yachuruzike maji Baada ya hapo ondoa maganda ya matunda yako uliyoandaa Ukishamaliza kumenya, katakata matunda yako katika vipande vidogo vidogo jinsi unavyopenda wewe mwenyewe Baada...