african print ankara

NAMNA NZURI YA KUTOA STICKER/LABEL KWENYE KITENGE

7/10/2014Violet Kibua

 Habari wapendwa!
Leo nitawaonyesha namna nzuri ya kuondoa stika/label kwenye kitenge
Mara nyingi watu wamekua wakitoa kienyeji hii inapelekea stika kutotoka vizuri na kuleta usumbufu, kwani muda mwingi utatumika 


 Hatua ya kwanza, chukua pasi na kuiwasha
Ikishapata moto, weka kwa juu ya stika
Iache kwa sekunde kadhaa

 Baada ya hapo, stika itakua imepata moto na kufanya ile gundi yake kulainika
Kisha ondoa stika kwa urahisi kabisa bila usumbufu wowote


Asante kwa kunitembelea
Karibu tena wakati mwingine

***

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form