african print ankara

KITENGE MAXI DRESS

6/24/2014Violet Kibua


Habari wapendwa
Za masiku tele
Nimewamisije sasa
Kitambo sana sijapost kipya humu ndani. Hii ni kwa sababu ya majukumu mbalimbali ya ujenzi wa taifa. Angalau sasa nina nafasi kidogo, tutakuwa tunaonana hapa kijiweni. Endelea kutembelea kijiwe hiki kwa mitindo tofauti tofauti ya kitenge. Kuna mambo mazuri yanakuja, kaa mkao wa kuburudika

Leo burudika na hii, kitenge maxi dress. Ni kazi ya mikono yangu mwenyewe
Kuona picha zaidi bonyeza hapo chini


 ***

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form