birthday wishes

HAPPY BIRTHDAY TO ME

1/18/2014Violet Kibua


January, 18 ya kila mwaka ni siku muhimu sana kwangu
Ni siku yangu ya kuzaliwa
 Namshukuru sana Mungu kwa zawadi hii, ya kuuona mwaka mwingine

Life so far, has been good
Nimepitia magumu mengi lkn pia kuna nyakati nzuri pia za kukumbuka
Asante kwa watu wangu wote ambao mlikua pamoja nami kipindi chote, mmenisaidia pale nilipokwama na kunitia moyo pale nilipokata tamaa
Kwa namna moja au nyingine mmenifundisha nini maana ya maisha. Nawashukuruni sana

Ninazidi kumuomba Mungu anijalie niweze kupata miaka mingine zaidi
 Aniongezee furaha, amani, upendo na afya njema ili niendelee kumtumikia vema
Azidi kunitia nguvu ya kupambana
Anizidishie busara na mafanikio tele kwa kila jema nitakalolifanya


HAPPY BIRTHDAY TO ME
Signature photo VIOPYT_zps848f22d6.jpg

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form