Hamjambo watu wangu?
Hope mlikua na mapumziko mazuri ya sikukuu ya pasaka na mlisherehekea kwa amani, upendo na utulivu wa hali ya juu
Nyingine hii kutoka kwangu
Hiyo fabric iliyotumika hapo ni kitenge ingawa kwa mbali kinaonekana kama kitambaa tu cha kawaida
Enjoy nayo!
***
Outfit: Kibua Designs
Photos: Jizzle Stans
xo
4 comments
This is incredible! Specially the sleeves. You are really talented!
ReplyDeleteKeep up with amazing work,
Dora
Thanks for the compliments!
DeleteI really appreciate it
umechomoka ile mbayaa! keep growing!
ReplyDeleteAsante mpendwa
Delete