batiki dresses

SHORT BATIK DRESS

10/09/2013Violet Kibua

Bonyeza hapo chini kuona picha zaidi

 
 

Habari wadau!
Ya batik kutoka Kibua Designs
Short Batik dress
Unaweza ivaa popote kwa sababu iko simple sana
Ofisini, safarini, matembezini, kwenye mtoko wowote ule, nk.

Unaionaje?
Maoni yako muhimu sana 
Nawatakieni nyote siku njema

Asante kwa kunitembelea
Karibu tena

***
Signature photo VIOPYT_zps848f22d6.jpg

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form