
Habari wapendwa Za masiku tele Nimewamisije sasa Kitambo sana sijapost kipya humu ndani. Hii ni kwa sababu ya majukumu mbalimbali ya ujenzi wa taifa. Angalau sasa nina nafasi kidogo, tutakuwa tunaonana hapa kijiweni. Endelea kutembelea kijiwe hiki kwa mitindo tofauti tofauti ya kitenge. Kuna mambo mazuri yanakuja, kaa mkao wa kuburudika Leo burudika na hii, kitenge maxi dress. Ni kazi ya mikono yangu mwenyewe Kuona picha zaidi bonyeza...
Two in One Kitenge kimoja, nguo mbili tofauti Nguo A ilipostiwa HAPA na nguo B ilipostiwa HAPA Ipi imekuvutia *** ...
Kutoka Kibua Designs *** ...
Kitenge Maxi dress toka Kibua Designs *** ...

Habari wadau! Ni matumaini yangu kwamba mko poa Ni siku nyingi sijapost vya kwangu, hii ni kutokana na majukumu ya hapa na pale lakini ninapopata muda kama leo hivi, basi nashare nanyi style zangu kitenge hiki nilishawahi kitengenezea nguo flani siku kadhaa zilizopita unaweza iona hiyo post hapa katika post hiyo iliyopita nilishona pencil skirt na peplum blazer lakini leo nawaletea hii pencil dress hope mmeipenda Kwa maoni,...
January, 18 ya kila mwaka ni siku muhimu sana kwangu Ni siku yangu ya kuzaliwa Namshukuru sana Mungu kwa zawadi hii, ya kuuona mwaka mwingine Life so far, has been good Nimepitia magumu mengi lkn pia kuna nyakati nzuri pia za kukumbuka Asante kwa watu wangu wote ambao mlikua pamoja nami kipindi chote, mmenisaidia pale nilipokwama na kunitia moyo pale nilipokata tamaa Kwa namna moja au nyingine mmenifundisha...