african print ankara

PLUS SIZE KITENGE OUTFIT

8/12/2013Violet Kibua

 Mliojaaliwa neema za Mungu mpo?
Mambo yenu haya
Tizama post hii ya kitenge 
Kimojawapo ndio kimetoa nguo hii


Simple lakini inapendeza
Mbwembwe zipo kidogo kwenye blauzi hapo mbele

***
Bloglovin   |  Facebook  |  Twitter  |  Instagram  |  Pinterest

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form