bags DIYs

DIY: KITENGE WALLET

8/17/2013Violet Kibua

 Haya kina kaka, kina baba
Ya kitenge hiyo
 Wallet safi, kutoka Kibua Designs
Imetengenezwa kwa kitenge
Ni nzuri sana, ina ubora, inadumu kuliko hata hiyo ya ngozi uliyokua nayo

 Kwa upande juu inaonekana hivi

 Kwa ndani ipo hivi


 Nafasi ya kutosha kwa ajili ya kadi zako

 Ukiikunja inaonekana hivi 
Picha juu na chini

Inapendeza kusema ukweli
Kama umeipenda, nitafute
Kibuafashions@gmail.com

Asante kwa kunitembelea
Karibu tena

Tafadhali nifuate popote panapokuvutia hapo chini ili uwe updated

***

Bloglovin  |  Facebook  |  Twitter  |  Instagram  |  Pinterest

Signature photo VIOPYT_zps848f22d6.jpg

You Might Also Like

0 comments

Recent posts

Contact Form