accessories DIYs

DIY: KITENGE NECKTIE

3/06/2013Violet Kibua
 Niaje wadau wangu? Mko poa?

Leo napenda kuwaletea  necktie ya kitenge(African print necktie)
Nimetumia kitenge cha wax kuitengeneza.
Ni rahisi sana hata wewe hapo home unaweza tengeneza yako kwa kutumia sindano ya mkono si lazima uwe na mashine ndio uweze tengeneza hii kitu.

Tai sio lazima itengenezwe kwa kitambaa laini, au lazima kitambaa kilichotoka ng'ambo. Kitenge pia kinaweza fanya maajabu. Wakati mwingine waweza tumia hata kanga.

Naahidi katika posts zangu zitakazofuata, nitaandaa post maalum ambayo itatoa somo namna ya kutengeneza necktie ya kitenge

Hayo tu ndio niliyonayo wadau wangu
Nawapenda sana

xoxo

***

You Might Also Like

3 comments

 1. ndo naiona kwa mara ya kwanza, imetulia kiaina

  ReplyDelete
 2. ukistaajabu ya musa...
  njoo nkutengezee yako

  ReplyDelete
 3. your so creative my dear! keep doing!

  ReplyDelete

Recent posts

Contact Form