Za kitenge hizo kutoka Kibua Designs Umeipenda ipi? Tiririka *** ...
Niaje wadau wangu? Mko poa? Leo napenda kuwaletea necktie ya kitenge(African print necktie) Nimetumia kitenge cha wax kuitengeneza. Ni rahisi sana hata wewe hapo home unaweza tengeneza yako kwa kutumia sindano ya mkono si lazima uwe na mashine ndio uweze tengeneza hii kitu. Tai sio lazima itengenezwe kwa kitambaa laini, au lazima kitambaa kilichotoka ng'ambo. Kitenge pia kinaweza fanya maajabu. Wakati mwingine waweza tumia hata kanga. Naahidi...