accessories

WEAVED EARRINGS

12/14/2012Violet Kibua


 
Weaved earrings

Hizi ni hereni ambazo zimesukwa kwa kutumia majani  ambayo hutumika kusukia mikeka, makawa, vikapu, nk.

Yapo majani ya aina tofauti tofauti ambayo hutumika kusukia  vitu hivyo nilivyovitaja hapo juu
Baadhi ya majani hayo ni ukindu na mlala

Hereni hizi zimesukwa kwa majani ya ukindu ambayo hukaushwa kabla ya kutumika
Hereni hizi ni nzuri kwa kweli na zinapendeza haswa. Chukua hiyo na ujaribu kutupiamo utakubaliana na mimi.

Nawatakieni nyote Weekend Njema yenye amani na furaha tele

xoxo

***


You Might Also Like

2 comments

Recent posts

Contact Form