
Habari wapendwa Za masiku tele Nimewamisije sasa Kitambo sana sijapost kipya humu ndani. Hii ni kwa sababu ya majukumu mbalimbali ya ujenzi wa taifa. Angalau sasa nina nafasi kidogo, tutakuwa tunaonana hapa kijiweni. Endelea kutembelea kijiwe hiki kwa mitindo tofauti tofauti ya kitenge. Kuna mambo mazuri yanakuja, kaa mkao wa kuburudika Leo burudika na hii, kitenge maxi dress. Ni kazi ya mikono yangu mwenyewe Kuona picha zaidi bonyeza...