Habari zenu wadau! Shughuli zinaendaje? Hii hapa ya kitenge kutoka kwangu Nimeipa title ya "Touch of green" sababu kitenge kilichotumika kina rangi kama tatu na kijani ikiwepo Ni simple pencil dress Natumai umeipenda Asante sana kwa kunitembelea Karibu tena wakati mwingine Natatakia jioni njema ...
Habari wapendwa! Hope mmekuwa na weekend njema Ni siku nyingine tena tunakutana katika kijiwe hiki Kama kawaida, ni mwendo wa vitenge tu gauni fupi la kitenge, kazi ya mikono yangu mwenyewe Namshukuru sana Mungu kwa hili Burudika na picha zaidi kwa kubonyeza chini hapo ...