January, 18 ya kila mwaka ni siku muhimu sana kwangu Ni siku yangu ya kuzaliwa Namshukuru sana Mungu kwa zawadi hii, ya kuuona mwaka mwingine Life so far, has been good Nimepitia magumu mengi lkn pia kuna nyakati nzuri pia za kukumbuka Asante kwa watu wangu wote ambao mlikua pamoja nami kipindi chote, mmenisaidia pale nilipokwama na kunitia moyo pale nilipokata tamaa Kwa namna moja au nyingine mmenifundisha...