african print ankara dresses

KITENGE DRESS

1/30/2013Unknown
 African Print(Kitenge) Simply kwa sababu kitenge kina rangi mbili ambazo ni Maroon na Gray Ndio hiki ni kitenge (African Print) wala sio kitambaa cha kawaida. Kwa sababu kuna baadhi ya marafiki zangu walipoiona nguo hii kwa mara ya kwanza, walidhani hiki ni kitambaa cha kawaida. Je, wewe mdau unaonaje? Machoni mwako unaona hii material iliyotumika hapa kwenye kivazi hiki ni Kitenge au Kitambaa tu cha kawaida? Unaweza kucomment,...

Continue Reading

bags DIYs

DIY: KITENGE PURSE

1/29/2013Unknown
  Kibua Designs African Print Purse Imetengenezwa kwa kitenge imekuvutia? au... xoxo *** ...

Continue Reading

african print ankara kitenge

KITENGE

1/25/2013Unknown
Nachukua nafasi hii kuwatakieni wadau wote wa Kibua Designs, siku njema Nawapenda  wote *** ...

Continue Reading

batiki

BATIK

1/21/2013Unknown
  Sakina in Kibua Designs xoxo *** ...

Continue Reading

casual look

CASUAL SUNDAY

1/20/2013Unknown
    Weekend ilikua vipi wadau? Natumai ilikua poa. Mimi kwangu ilikua poa sana, namshukuru Mungu. Nawatakia wadau wote jioni njema, iwe ya utulivu. Mimi penda sana nyinyi xoxo *** ...

Continue Reading

accessories

HERENI

1/19/2013Unknown
Nimezipenda *** ...

Continue Reading

casual look

BIRTHDAY GIRL: SKIN JEANS & SWEATER

1/19/2013Unknown
     So, jioni nilitokelezea hivyo, nikatupia blue skin jeans, wengine wanaita model, poa tu vyovyote utakavyoiita mradi tunaenda sambamba. Juu nikatupia kitu cha brown sweater. Simple & comfortable Then, tukatoka marafiki zangu kwau ajili ya chakula cha jioni, tukala, tukanywa, tukafurahi. Pia nilikata keki. Na story ndio ikaishia hapo. Napenda kuwashukuru wapendwa wote walionikumbuka katika siku yangu hii kubwa, walioniwish happy bday, walioniletea zawadi, kadi, bila kuwasahau...

Continue Reading

birthday wishes

WISHING MYSELF A HAPPY BIRTHDAY

1/18/2013Unknown
   Today is my birthday and all I can say is that, Thank you, God, for giving me another year of life. Thank you for all the people who remembered me today by sending cards, and letters, gifts and good wishes. Thank you for all the experience of this past year; for times of success which will always be happy memories, for times of failure which reminded me...

Continue Reading

african print ankara kitenge

SHINING STAR

1/18/2013Unknown
Habari zenu wadau. Hiyo ya kwangu nyingine, nimeamua kuiita shining star kwa sababu ya kitenge chenyewe kilichotumika kina nyota nyota. Kama tujuavyo nyota zikiwa angani zinang'aa kwahiyo nikaona sio vibaya nguo hii nikaipa heading ya shining star Ukitizama vizuri maua ya kitenge hicho utagundua Naomba nisiwachoshe kwa maneno mengi, kwani leo ni furahi day "friday" naamini wengine wameshaanza weekend. Niwatakieni nyote weekend njema yenye amani, upendo na utulivu...

Continue Reading

dresses kanga

KANGALICIOUS

1/15/2013Unknown
  Me, Myself n I    Hivi unajua kwamba kanga nayo yaweza fanya maajabu katika fashion. Kwanza kanga hazina gharama sana, kama vitenge. Hata yule mpenda mitindo wa kipato cha chini kama mimi hapa anaweza kununua kanga na akadesign anavyojua yeye, mwisho wa siku akatokelezea fresh. Ukipata designer mzuri akakupangia yale maua ya kanga vizuri sina shaka utapendeza  Tatizo la kanga hazina mapana makubwa, kwahiyo mitindo yake mara...

Continue Reading

african print ankara dresses

KITENGE

1/10/2013Unknown
Kibua Designs Kibua Designs ...

Continue Reading

batiki shirts

BATIK SHIRT

1/07/2013Unknown
accessories

ZA MPINGO

1/05/2013Unknown
Unaujua  mpingo? Basi huu ni mti unaopatikana hapa nchini kwetu Tanzania. Ni mti maarufu sana katika sanaa ya uchongaji. Mpingo hutumika kuchonga vitu mbalimbali kama vinyago vya kupamba majumbani, maofisini na sehemu nyingine tofauti tofauti kulingana na muhusika anavyopenda, Vinu vya kutwangia viungo mbalimbali, nk. Lakini mpingo pia hutumika kutengenezea bidhaa mbalimbali za urembo, kama hapo juu pichani, ni hereni na bangili zilizotengenezwa kwa mti wa mpingo. Hereni...

Continue Reading

1234

Recent posts

Contact Form