Hereni za kifuu cha nazi Wakati wengine wakimaliza kukuna nazi vifuu wanavitupa, wengine wanavitumia hivyo vifuu kutengeneza bidhaa mbalimbali Miongoni mwa bidhaa hizo ni hizi za urembo Pichani hapa tuna hereni zilizotengenezwa kwa kutumia vifuu vya nazi. Lakini si hereni pekee ambazo zinatengenezwa kutokana na vifuu vya nazi, zipo bidhaa nyingine kama mikufu, bangili, upawa wa kuchotea mboga, nk. Hata wewe hapo nyumbani unaweza kufanya ubunifu huu, ukimaliza...
...
Weaved earrings Hizi ni hereni ambazo zimesukwa kwa kutumia majani ambayo hutumika kusukia mikeka, makawa, vikapu, nk. Yapo majani ya aina tofauti tofauti ambayo hutumika kusukia vitu hivyo nilivyovitaja hapo juu Baadhi ya majani hayo ni ukindu na mlala Hereni hizi zimesukwa kwa majani ya ukindu ambayo hukaushwa kabla ya kutumika Hereni hizi ni nzuri kwa kweli na zinapendeza haswa. Chukua hiyo na ujaribu kutupiamo utakubaliana na...
...
Vitenge Batiki ...
...
Kibua Designs ...
...
Designed by Kibua V ...
Designed by Kibua V ...
Designed by Kibua V ...
Designed by Kibua V ...
Zinapatikana katika rangi mbali mbali Njoo ujipatie yako ...