Habari ya weekend wapendwa Natumai mu wazima wa afya Sijapost kitambo sana hii ni kwa sababu ya majukumu ya hapa na pale Leo nawaletea nyingine ya kitenge kutoka kwangu Kitenge Peplum Dress Kazi ya mikono yangu mwenyewe Bonyeza chini hapo ili kuona picha zaidi ...