Habari watu wangu! Hope mko poa kwa mapenzi yake Muumba Nyingine hii ya kanga kutoka kwangu. Kanga ina utamu wake bwana. Hebu ijaribu ujionee xoxo *** ...
Habari wadau. Natumai mlikua na jumapili njema. Tumshukuru Mungu kwa kutujalia pumzi maana kuna wengine hawajaiona siku ya leo. Wameshatangulia mbele za haki. Tukiachana na hayo, leo nimewaletea kivazi hiki cha satin. Hiki kivazi chavaliwa kwenye shughuli. Send off party sawa, sherehe ya harusi poa, hata kwa red carpet unaweza kutupiamo. Pia vazi hili laweza valiwa na bi harusi mtarajiwa kwenye send off party yake. Au kwa maids...
Ya kwangu hiyo Imetengenezwa kwa kanga *** ...
Habari wadau Natumaini muwazima popote pale mlipo Nyingine hii ya BATIK kutoka kwangu. Nimekuwa nikiwaletea sana style za kubana bana lakini leo nimeamua niwatupie hii ya solo. Ubunifu hapa sana sana uko kwenye shingo na kwenye mikono. Vingine vya kawaida sana tumeshazoea kuviona. Unasemaje kuhusu mlipuko wa leo? Una maoni? Mlipuko umekuvutia? Usisite kutoa maoni, kwani maoni yako yana mchango mkubwa sana. Pia usisahau kunifollow GFC,...